Hatua ya 16 bora inaendelea leo Jumapili kwa michezo miwili.
Saa 1:00 usiku, Wenyeji Morocco kukipiga na Taifa Stars.
Taifa Stars inasaka ushindi katika mchezo huu ili kuweka rekodi nyingine ya kutinga hatua ya robo fainali.
Saa 4:00 usiku, South Afrika kucheza na Cameroon
Michezo hii itaruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii.
#AFCON25 #TaifaStars