#HABARI: Jeshi la Polisi nchini limewatia mbaroni madereva Sita huku baadhi yao wakifutiwa leseni kabla ya kufikishwa Mahakamani baada ya kubainika na makosa mbalimbali ikiwemo kuendesha bila kuwa na leseni, mwendokasi na uendeshaji usiozingatia sheria za usalama barabarani katika kipindi cha siku tatu zilizopita.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.