#HABARI: Jeshi la Polisi huko mkoani Tanga limefanikiwa kumkamata mfugaji anayedaiwa kuendesha mtandao wa kuwashambulia wakulima wanao walalamikia wafugaji wanaoingiza mifugo kwenye mashamba ya wakulima na kuwachapa viboko huku baadhi ya viongozi wa vijiji wakituhumiwa kushirikiana na wafugaji hao baada ya kupokea hongo.

‎Powered by #MCHEZOSUPA


‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎#Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *