#HABARI: Miili nane kati ya miili kumi iliyohusisha magari mawili kugongana na kuwaka moto katika eneo la Maseyu tarafa ya Mikese mkoani Morogoro imetambuliwa na ndugu zao na kukabidhiwa kwa ajili ya taratibu za maziko katika maeneo mbalimbali nchini.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.