Mzizima Derby ndani ya NMB Mapinduzi Cup:
Alhamis hii itapigwa nusu fainali ya kwanza ya NMB Mapinduzi Cup, ni AzamFC dhidi ya Simba SC.
Mechi hii itapigwa kuanzia saa 2:15 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports3HD.
#NMBMapinduziCup #Azamtvsports