“Nilipomaliza chuo Dodoma niliajiriwa Serikalini. Nilikuwa nafundisha shule ya msingi Kaloleni Jijini Arusha. Kuna kitengo cha watoto wenye ulemavu wa akili. Unajua kila binadamu kuna namna ambavyo ameitwa kwa hiyo mimi nilijikuta wito wangu upo kwenye masuala ya elimu”- @mwl.magodajr, Mwalimu
#LiveonClouds360
#LainiYawana
#Clouds26Nyoosha