Eneo la Kanisa Katoliki Bunju katika viunga vya jiji la Dar es salaam kwa siku moja liligeuka karakarana pindi mbunifu wa Kinengunengu Mohamed Rashid Mfaume alipofika kuleta tena matumaini kwa wafugaji wa kuku.

Aliitikia wito wa Padre Paul Malewa, Paroko Msaidizi wa eneo hili ambaye anasimulia kulikoni?

Kazi ikaanza mbao zikaunganishwa kutengeneza muundo wa mviringo ambao ulizungushiwa kwa ndani nyavu, mabaki ya mbao yaani maranda na gunia  kwa ajili ya joto wakati wa usiku. 

Na kisha muundo mwingine wa Mraba  ambamo humo vifaranga husalia wakati wa mchana kwa ajili ya kula na kunywa maji, juu yake kumewekwa wavu kuepusha kunguru na paka kuweza kupenya.

inaendelea…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *