Baadhi ya wajasiriamali wa Tanzania wameichangamkia nafasi ya michuano ya AFCON inayoendelea nchini Moroko kwa kuuza kazi mbalimbali za sanaa.
Mwenzetu Fatma Abdallah Chikawe akiwa mjini Rabat ametembelea moja ya jukwaa la biashara na kukutana na mmoja wa Watanzania walionufaika na fursa ya uwepo wa michuano ya AFCON.
Mhariri @moseskwindi