Wafanyabiashara wadogo nchini wamemuomba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kuangalia kwa kina uwepo wa wingi wa tozo, ukosefu wa mikopo kwa wajasirimali hao pamoja na ‘ubabaishaji’ katika utolewaji wa vizimba vya biashara katika masoko yanayojengwa.

Kero hizo zimefikishwa kwa Waziri Mkuu katika mkutano wake na wafanyabiashara hao uliofanyika leo Januari 8, 2026.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *