Japan ni kati ya mataifa ambayo wananchi wake hufanikiwa kuishi miaka mingi na kuufikia uzee hadi wa miaka 84 nakuendelea.

Wanafanikiwaje kwenye hili..?

@Marcel__Kitabu leo ametupelekea mpaka #KWAWENZETU hawa na kujua siri zao za ushindi za kuishi umri mrefu, ndani ya #Clouds360.

#KWAWENZETU
#Clouds360
#Nyoosha

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *