Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini zimesababisha kujaa maji kwenye miundombinu ya reli katika eneo la Gulwe mkoani Dodoma hadi Kidete mkoani Morogoro hali iliyosababisha zaidi ya abiria 1,000 wa treni kutoka Kigoma kuelekea Dar es Salaam na mikoa ya jirani kukwama mkoani Dodoma.

Taarifa ifuatayo ina undani zaidi.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *