Finland ni kati ya nchi kinara duniani kwenye suala zima la elimu bora, Uwekezaji waliyoufanya kwenye taaluma ya ualimu ni kati ya siri ya ushindi kwao.

@Marcel__Kitabu leo kwenye #Clouds360 anatupitisha #KWAWENZETU hawa Finland juu ya mikakati yao ya kuimarisha elimu bora nchini mwao.

#KWAWENZETU

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *