HATIMAYE SHIMO LA DARAJA LA MALECELA LAZIBWA
Mara baada ya Advance team ya #Clouds360 jana kuripoti uwepo wa kero ya shimo hatari katika barabara ya Mwai kibaki, hali ya asubuhi ya leo ni kwamba shimo limepata kuzibwa kwa kokoto na sasa vyombo vya usafiri vinapita vizuri tofauti na siku za nyuma.
Advance team @Dr.samsasali360 na @jamestupatupa wamefika na leo tena, kujionea marekebisho hayo yaliyofanyika.