Baraza la Mitihani Tanzania – NECTA limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne na kidato cha pili uliofanyika oktoba na novemba 2025 huku suala la udanganyifu likiendelea kujitokeza ambapo wanafunzi wa darasa la nne 41 na 29 wa kidato pili wakifutiwa matokeo yao kwa udangamyifu na 8 wa darasa la nne 11 kidato cha pili wameandika matusi kwenye skripti zao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *