“Moja ya thamani ya ndoa ni uhai wa watu wawili husika waliokubaliana kuishi pamoja wenye mitazamo chanya ambayo huleta furaha, amani na maendeleo,
endapo thamani ya ndoa itaondoka muda wa kuishi wa wanandoa hao utapungua kutokana na kukosa furaha, msongo wa mawazo na hata magonjwa kutokea”, hayo yamesemwa na Mtaalamu wa Saikolojia, Geofrey Mwamnyanyi.
✍Halima Abdallah
Mhariri @moseskwindi
#AzamTVUpdates