Umeshawahi kuwa hatiani kwa yasiyokuhusu? ngoja nikusogezee “ubuyu” watu 10 wakiwemo wanaume wanane na wanawake wawili wamejikuta hatiani kwa unyanyasaji wa kijinsia baada ya kuzusha kuwa mke wa raisi wa Ufaransa Brigitte Macrone ni mwanamke aliye badili jinsia.

✍ Roland John
Mhariri @moseskwindi

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *