Waziri wa nchi ofisi ya Rais maendeleo ya vijana Joel Nanauka amesema vijana ni kundi linalohitaji kuwekewa Mazingira mahususi ya kujifunza ,Kujengewa uwezo na kupata stadi zinazohitajika katika soko kwani utafiti wa nguvu kazi ya Taifa unaonyesha 55.6% ni vijana wanaozalisha katika Taifa.
#kilichoborakabisa