Mchungaji ambaye pia ni mmwimbaji wa nyimbo za Injili nchini Kenya amefikishwa hospitali baada ya kuanguka na kupoteza fahamu wakati akijaribu kuukumbatia mti kwa saa 80 ili kufikisha ujumbe kuhusu ugonjwa wa saratani.

Mchungaji huyo hakufanikiwa kutekeleza azma yake hiyo baada ya kuanguka na kufikishwa hospitalini kwa matibabu na baada ya kuamka alisema ataendeleza dhamira yake hiyo

✍.Ibrahim kilumbo
Mhariri | @allymufti_tz

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *