Wazee wanaoshi katika mazingira magumu Kata ya Nyankumbu Manispaa ya Geita wamekishukuru Kikundi Cha Nyankumbu Shule Group kwa kuwasaidia mahitaji ya msingi huku wakitoa wito kwa Jamii kuendelea kuwasaidia watu wenye mahitaji.