Mmoja wa wapiganaji wakati wa Mapinduzi ya Zanzibar, Mzee Kombo, ameeleza namna alivyoshiriki moja kwa moja katika kufanikisha tukio hilo la kihistoria.
Akiwa mfanyakazi wa umeme katika kinu cha Taa Satini, alipewa jukumu la kuzima umeme, lakini akashauri mbinu ya kuandaa ngoma ili kukusanya watu na kupunguza hatari ya machafuko.

Sikiliza Zaidi simulizi ya mzee huyu…

✍Ibrahim kilumbo
Mhariri | @claud_jm

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *