Uwepo wa sokwe mtu pamoja na fukwe za kuvutia katika Hifadhi ya Taifa ya Mahale umeifanya kuwa moja ya vivutio muhimu vya utalii na chanzo kikubwa cha mapato kwa Serikali.
Hifadhi hiyo, inayopatikana mkoani Kigoma, ina mazingira tulivu na ya kipekee yanayopambwa na makundi ya sokwe mtu pamoja na maji ya Ziwa Tanganyika.
✍Katherini shirima
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates