MEZAHURU: “…kiutaalamu kidogo ni IT by Prefessional so nakumbuka kuna mtu alipoteza akaunti yake ya mtandao wa kijamii ilikuwa ni Instagram kipindi hicho, nilikuwa Dodoma so yeye yupo Dar, ni mtu mkubwa kidogo so katika hangaika hangaika basi tukawa tumekutana na akaniomba niweze kumrudishia ile akaunti na nilipofanikisha lile jambo alinilipa hela anililipa hela ambayo ni mara mbili ambayo niliyokuwa nalipwa”- Bazil Lokola-Mtaalamu wa Mitandao ya kijamii.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.
