#MEZAHURU”….nikakuta hakuna mtu Kitanzania Tanzania anatoa elimu ya matumizi mazuri ya mitandao na simu Tanzania, kwa kipindi …#MEZAHURU”….nikakuta hakuna mtu Kitanzania Tanzania anatoa elimu ya matumizi mazuri ya mitandao na simu Tanzania, kwa kipindi …

#MEZAHURU”….nikakuta hakuna mtu Kitanzania Tanzania anatoa elimu ya matumizi mazuri ya mitandao na simu Tanzania, kwa kipindi kile ambacho mimi naingia kwenye mitandao ya kijamii, nikaja kuona kwamba hii ni fursa lakini mwisho wa siku sikuweka kuwa ni fursa kwamba natakiwa niwe nauza yani mimi niliweka ni fursa kwamba natakiwa nitafute wafuasi mtandaoni (followers)…..”- Emmanuel Masoko – Mkurugenzi Simu Kitaa.

Powered by #MCHEZOSUPA

‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎#Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *