#HABARI: Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Rukwa zimesababisha kuanguka kwa nyumba 7 katika Mtaa wa Mabatini Kata ya Namanyere wilayani Nkasi na kusababisha baadhi ya watu kukosa makazi na kujihifadhi kwa majirani.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania
