Madiwani kutoka halmashauri mbalimbali za mkoa wa Njombe wametakiwa kuchukua hatua za haraka kutatua changamoto zinazolalamikiwa na wananchi, ikiwemo ongezeko la ushuru na tozo mbalimbali ambazo kwa muda mrefu zimekuwa kero kwa jamii.
Wito huo umetolewa huku malalamiko ya wananchi yakiongezeka kuhusu gharama za huduma na biashara, hali inayodai uingiliaji wa viongozi wa serikali za mitaa ili kupunguza mzigo wa kiuchumi kwa wananchi.
✍ Emmanuel Kalemba
Mhariri @claud_jm
#AzamTVUpdates
