Ni wakati wa kuikaribia TV yako kwa karibu, maana Show tamu ya TV The Spark ndani ya Clouds Tv inakaribia kuanza.
Tunajua kila mtu ana msanii wake pendwa ambaye angependa kumuona akifanya collabo na mwingine mwaka huu
Je, ni wasanii gani unatamani waingie studio na kutoa banger kali mwaka huu?
Achia comment yako, maana @neypova_ ataisoma hewani, huku @djfantastic255 akikupigia mdundo Heavy
🕔 Saa 11:00 hadi 12:00 jioni, usikose!
