Time ya kuishi na Isha,Time ya kuishi na Isha,

Time ya kuishi na Isha,
Wakati tukiishi kwenye mapokeo ya kiburudani kwaajili ya kukonga nyoyo zetu, tusisahau kuishi kwani hii zawadi yenye thamani kubwa tuliyopewa na Allah na Juma tano ya leo Malkia wa taarabu @ishamashauzioriginal atatubless burudani ya miondoko ya Pwani pamoja na elimu ya usalama barabarani ili kupunguza idadi ya vifo vitokanavyo na ajali hasa za pikipiki.

Njoo na popcorn zako tu leo saa 1930 usiku kwenye kideo chako @cloudstv
#Clouds2026Nyoosha.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *