“Tumefurahi sana Simba Queens wamecheza Vizuri , Wamepambana, wakiendelea Kucheza hivi tutashinda Ligi insha’allah”
Mlezi wa Simba Queens @fatemagdewji akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya Mchezo wa Simba Queens dhidi ya Tausi FC kutamatika katika uwanja wa KMC Complex Mwenge , Dar es salaam.
Viwanjani @cloudstv ✅️
