#HABARI: Serikali ya Kenya imetoa Bilioni 6 za chakula cha msaada, wakati zaidi ya watu millioni 2.1 wanaendelea kukabiliwa na uhaba mkubwa wa maji na chakula nchini Kenya, huku ukame ukiendelea kuathiri maeneo mbalimbali, baada ya kipindi kirefu cha kiangazi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania