#HABARI: Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kimetishia kuandaa maandamano ya nchi nzima yenye lengo la kushinikiza serikali kufufua mchakato wa Katiba Mpya na kuachiliwa huru kwa Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche ndiye ambaye ametangaza azma hiyo ya Chadema ya kuitisha maandamano nchi nzima, wakati akihutumia maelfu ya wananchi katika kituo cha mabasi cha Kabwe jijini Mbeya.

Kwa taarifa zaidi ufuate (follow) ukurasa wetu mpya wa Facebook #ITV EXTRA>>>> https://www.facebook.com/share/1QMjXDHqGv/?mibextid=wwXIfr

Powered by #MCHEZOSUPA

‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates ITVTanzania
‎Follow ITV TANZANIA RadioOne Tanzania
‎Capitalradio Tanzania

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *