#HABARI: Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameihoji Serikali bungeni, kuwa je serikali haioni kwamba kuna haja ya kuweka masharti kwa Wafanyabiashara wanaovuna miti ili wachangie kwenye upandaji wa miti au Mfuko wa TFS?
Kwa taarifa zaidi ufuate (follow) ukurasa wetu mpya wa Facebook #ITV EXTRA>>>> https://www.facebook.com/share/1QMjXDHqGv/?mibextid=wwXIfr
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates ITVTanzania
Follow ITV TANZANIA RadioOne Tanzania
Capitalradio Tanzania
(Feed generated with FetchRSS)