Moto ambao mpaka sasa haujulikani chanzo chake umesababisha familia mbili za mtaa wa Nyantorotoro A manispaa ya Geita kuzikimbia nyumba zao huku ukipewa jina la “moto wa miujiza”.

Familia zilizokimbia nyumba zao ni ile ya William Samson na Juliana Balele kama anavyoeleza kwa kina Ester Sumira.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *