Kamati Kuu ya Chama cha ACT – Wazalendo inatarajiwa kutoa uamuzi wa mwisho wa uelekeo wa chama hicho utakaotoa mustakabali wa kuundwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) visiwani Zanzibar.
Wakati ACT Wazalendo wakitafakari hilo wadau wa siasa wameeleza athari zinazoweza kujitokeza ikiwa chama hicho kitasusia kuingia serikalini.
Mhariri @moseskwindi