Ni sehemu ya mahojiano na Musiba Paul Kitema maarufu kama Dkt. Nyuki ambaye ni mtaalamu wa Nyuki katika kipindi cha #Baragumu live ambapo mahojiano yalilenga kuangazia fursa mbalimbali za kiuchumi zitokanazo na mdudu nyuki

#kilichoborakabisa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *