Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Juma Suleiman Juma (51) mkazi wa eneo la Kibaridi, Kusini Pemba amefariki dunia baada ya kufunikwa na kifusi wakati akichimba mawe katika eneo la Kwareni, wilaya ya Mkoani.

Aisha Haji amefuatilia tukio hilo.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *