Zaidi ya wananchi 500 wa Mkoa wa Arusha wanatarajiwa kulipwa fidia ya takribani shilingi bilioni 3 kupisha ujenzi wa barabara ya Mianzini hadi Ngaramtoni.
Mradi huo unaojengwa kwa kiwango cha lami unatekelezwa na kampuni ya Kichina, STECOL Corporation, na unatarajiwa kukamilika mwezi Julai mwaka huu.
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates