#DAKIKA45: “Tunatoa adhabu lakini tunaona unampiga mtu adhabu ya shilingi Elfu 50 kwenye Bajaji wakati leseni yake elfu 30 labda, Pikipiki labda Elfu 20, halafu unampiga faini Elfu 50, sisi tunachotaka awe na leseni, hizi faini faini hazisaidii…, tunataka sana watu watii sheria bila shuruti” CPA Dkt.Habibu Suluo – Mkurugenzi Mkuu LATRA.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania