#HABARI: Tume ya Haki za Binadamu, Kenya imelaani vitendo vya kufyatua mabomu ya machozi kwa waumini wakati wa ibada ya Jumapili katika Kanisa la Kianglikana la Mtakatifu Petro, eneo la Wairima, Othaya, Kaunti ya Nyeri, ikielezea kisa hicho kama ukiukaji mkubwa wa katiba na matumizi mabaya ya Mamlaka ya Polisi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania