#HABARI: Watumishi wa ajira mpya wilayani Nkasi Mkoani Rukwa, wametakiwa kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia sheria taratibu na kanuni za utumishi wa umma ili kufikia malengo ya halmashauri na Serikali katika kuwahudumia wananchi.
Mapema akizunguza na watumishi wa ajira mpya Mkuu wa Divisheni na utawala wilayani humo, Ndugu Raineli Mwenda amebanisha kuwa jumla ya watumishi 116 wameajiriwa na Serikali ikiwemo Idara ya Afya, Elimu, Tehama, Fedha na Mipango na kuwataka watumishi hao kuzingatia weledi na nidhamu mahala pa kazi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.