#MEZAHURU”….kisheria sasa tunaongelea umetengeza kitu halafu umekituma au umekisambaza kiwafikie watu flani, lakini mimi ninaweza kutengeneza content yangu hapa nikabaki nayo sidhani kama tutaita maudhui nafikiri hiyo nitaiita video, tutayapa nafasi ya kwenda kwenye maudhui sasa kisheria pale ambapo utayasambaza….” Saduni Isack – Wakili Mahakama Kuu

Powered by #MCHEZOSUPA

‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎Follow @itvtz @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *