Wananchi wa Nyampindi, kijiji cha Ipumbuli, Kata ya Kizengi wilayani Uyui mkoani Tabora kumshinikiza Mwenyekiti kujiuzulu kwa kushindwa kutekeleza wajibu wake. Je, waigwe na wengine wanaopitia machungu kama hayo badala ya kuishia kulalamika