#HABARI: Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya DCEA imekamata KG 52.2 za Bangi na 38.9 za Mirungi na kuziteketeza katika Dampo la Serikali la Muriet lililopo jijini Arusha.

Dawa hizo zilikamatwa kufuatia operesheni za kudhibiti usafirishaji, usambazaji, biashara na matumizi ya dawa za kulevya zilizofanyika katika maeneo mbalimbali.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *