#MICHEZO: Afisa Habari wa Yanga SC, Ally Kamwe akizungumzia na wanahabari kisiwani Zanzibar, amesema ana furaha kuona mchezaji machachari wa Al Ahly, Emam Ashour kutokuwepo kuelekea mchezo wao wa kesho wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.