#MICHEZO: Afisa Habari wa Yanga SC, Ally Kamwe kuhusu nyota wa timu hiyo kutakiwa kuwafurahisha mashabiki na Wana-Afrika Mashariki waliokuja na wanaofuatilia kuona Yanga ikiwawakilisha mechi dhidi ya Al Ahly hapo kesho.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.