Umoja wa Mataifa (UN) umesema unakabiliwa na uhaba wa fedha kutokana na mataifa wanachama kutokulipa ada zao, hali inayohatarisha utoaji wa huduma, huku fedha zilizopo zikikadiriwa kwisha Julai 2026.

Katibu Mkuu wa UN, António Guterres amesema umoja huo umewahi kukumbwa na uhaba wa fedha, lakini kwa sasa hali ni mbaya zaidi.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *