Familia ya mtalii aliyefariki ajalini yalia na Mahakama
Familia ya raia wa Israel, Inbar Greidinger-Geisler, aliyepoteza maisha kwa ajali akifanya...
Familia ya raia wa Israel, Inbar Greidinger-Geisler, aliyepoteza maisha kwa ajali akifanya...
#HABARI: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kigoma, imetoa msaada wa mahitaji mbalimbali ya wanafunzi wenye mahitaji maalum katika shule ya Msingi Kabanga Wilayani Kasulu ikiwa na lengo la…
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mbarali Mkoa wa Mbeya, Raymond Mweli ameliambia Mwananchi...
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mbarali Mkoa wa Mbeya, Raymond Mweli ameliambia Mwananchi...
Ugonjwa wa ukoma huanza taratibu na dalili zake mara nyingi huonekana baada ya muda mrefu, hali inayofanya baadhi ya wagonjwa kuchelewa kugundulika. Dalili za awali hujumuisha kuonekana kwa mabaka kwenye…
Donald Trump amepangwa kushiriki katika mkutano kuhusu Greenland na “vyama mbalimbali” leo Jumatano, Januari 21, kando ya Jukwaa la Uchumi la Davos. Kabla ya kuondoka kwenda Uswisi, rais wa Marekani…
Wafanyakazi na viongozi wa serikali mkoani Mwanza, waliokuwa kwenye ziara ya Mkuu wa Mkoa, Saidi Mtanda wamejikuta katika wakati mgumu baada ya RC Mtanda kuwapa kazi ya kuhamisha shehena ya…
Oktoba 29, 2025, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) iliendesha uchaguzi mkuu wa Rais...
🔴MEZA HURU: .....JANUARI 21, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Wakulima mkoani Rukwa wameiomba serikali kuhakikisha inapeleka mapema mbolea, hususan ya kupandia, kabla ya kuanza kwa msimu wa kilimo ili kuendana na kalenda ya kilimo. Maombi hayo yametokana na uhaba…
Akizungumza katika Jukwaa la Kiuchumi Duniani WEF, mjini Davos Uswis hii leo Jumatano, Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Annalena Baerbock, amewataka wawakilishi wa serikali, sekta ya biashara…
Haiti inaingia mwaka 2026 ikikabiliwa na moja ya migogoro tata zaidi katika historia yake ya hivi karibuni. Leo Jumatano, taifa hili la kisiwa cha Karibea liko juu ya ajenda ya…
Katika muktadha wa kupungua kwa muda mrefu kwa maji ya chini ya ardhi, matumizi kupita kiasi ya rasilimali za maji, uharibifu wa ardhi na udongo, ukataji miti, pamoja na uchafuzi…
Ujumbe huo unatarajiwa kwenda kuchukuliwa leo ambao utasomwa katika kumbukizi ya Mzee Mtei...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, (UNESCO) limeeleza wasiwasi wake kuhusu mwelekeo unaoongezeka wa serikali kutumia uzimaji wa mtandao wa intaneti kama njia ya kushughulikia migogoro…
Kwa muongo mmoja kuanzia mwaka wa 2016 hadi mwaka wa 2025, Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) kwa ushirikiano na serikali ya Canada limechangia kwa…
Kufuatia mafuriko makubwa yaliyoikumba Msumbiji kutokana na mvua zinazoendelea, serikali ya nchi hiyo ya kusinimashariki mwa Afrika imetangaza kuwa hadi kufikia sasa imerekodi vifo vya watu 120 na maelfu ya…
Wafugaji wa nyuki mkoani Katavi wameiomba serikali kuimarisha ulinzi kwenye mizinga ili kupunguza wizi, ambao kwa sasa unadaiwa kukithiri na kuwaletea hasara kwenye uzalishaji. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi (Feed…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....JANUARI 21 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Afrika Kusini imetuma timu kusaidia juhudi za uokoaji baada ya mwanasiasa wa eneo hilo kusombwa na mafuriko alipokuwa akizuru nchi jirani ya Msumbiji. Andile Mngwevu, diwani katika manispaa ya Ekurhuleni,…
Historia ya Marekani imejaa uvamizi, shughuli za siri zenye utata za kuwaangusha watawala na serikali. Lakini, katika karne iliyopita, hakuna rais wa Marekani aliyetishia kunyakua ardhi ya mshirika wake
Rais wa Marekani Donald Trump leo anatarajiwa kutoa hotuba kwa viongozi wa dunia huko Davos, Uswisi, baada ya kusisitiza tena vitisho vyake vya kuchukua udhibiti wa Greenland. Anatarajiwa kuzungumza katika…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....JANUARI 21 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMAZA FEDHA KITAIFA (Feed generated with FetchRSS)
Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva amesisitiza kwamba, taifa hili halitafumbia macho katu haki yake ya kurutubisha…
Mfumo wa magereza wa utawala wa kizayuni wa Israel umekuwa "mtandao wa kambi za mateso" unaowalenga Wapalestina. Hayo yameelezwa katika ripoti mpya ya uchunguzi uliofanywa na asasi ya kutetea haki…
Waziri Mkuu wa Ubelgiji Bart De Wever amesema, ni lazima Ulaya imueleze wazi Rais wa Marekani Donald Trump kwamba hali ilipofikia hivi sasa "Haiwezi Tena Kuvumilika".
Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Misaada ya Kibinadamu, OCHA nchini Msumbiji amesema, mafuriko makubwa yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha, yamesababisha majanga makubwa kwa maisha na mbinu…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani kitendo cha vikosi vya utawala wa kizayuni wa Israel cha kubomoa majengo yaliyomo ndani ya eneo la makao makuu ya Shirika…
Wiki iliyopita, Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju alitaja mambo manane akitaka yawezeshwe...
Familia ya shujaa wa uhuru wa Kongo hayati Patrice Lumumba, imesema imeanzisha upya ufuatiliaji...
Polisi wa Nigeria wamebadili msimamo wao wa awali, wakithibitisha kwamba waumini kweli walitekwa nyara huko Kurmin Wali. Karibu saa 48 baada ya tukio, polisi walisema usiku wa Jumanne kuwa taarifa…
Iran imetangaza kuwa abadan haitaacha haki yake ya kurutubisha madini ya urani kwa malengo ya kiraia.
#LIVE:MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA ZA FEDHA KITAIFA (Feed generated with FetchRSS)
Maandamano yalipoenea kote nchini Iran, picha ziliibuka za mashambulizi kwenye maeneo ya kidini na uharibifu na kuchomwa moto kwa idadi ya misikiti.
Naibu waziri wa viwanda na biashara Dennis Londo amerirdhishwa na hatua za ufufuaji wa kiwanda cha kutengeneza vipuli na mashine kwaajili ya viwanda cha Kilimanjaro Machine tols na kuahidi kuwa,Serikali…
Mpango wa Rais wa Marekani, Donald Trump kuweka vikwazo vya kodi kwa Mataifa ya Ulaya umechukua...
Kamandi ya Kusini ya Jeshi la Marekani (Southcom) imeikamata meli ya mafuta inayomilikiwa na...
Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko kubwa la watu kuvutiwa na kutumia nyimbo za...
Wakati wa maadhimisho ya miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar, miradi mingi ya maendeleo...
Mchunga mifugo aliyesoma kwa dhamira hadi kuwa Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BOT). Mwanasiasa...
Mwanamuziki wa Nigeria Wizkid amezua gumzo baada ya kudai yeye ni mkubwa zaidi kimuziki kuliko...
STRAIKA wa Pyramids ya Misri na timu ya taifa ya DR Congo, Fiston Mayele, ameonyesha wazi furaha yake baada ya Clatous Chama, kurejea katika klabu ya Simba.
Kufuatia kuongezeka harakati za watu wanaotaka kujitenga huko Somaliland baada ya kutambuliwa rasmi na utawala wa Kizayuni wa Israel, serikali ya Somalia imechukua hatua mpya za kukabiliana na harakati hizo…
Kufuatia kuongezeka harakati za watu wanaotaka kujitenga huko Somaliland baada ya kutambuliwa rasmi na utawala wa Kizayuni wa Israel, serikali ya Somalia imechukua hatua mpya za kukabiliana na harakati hizo…
Waziri wa Mambo ya Nje Abbas Araqchi amesema Ulaya sasa inasumbuliwa na matokeo ya usaliti wake wa zamani kwa Iran na inakabiliwa na unyanyasaji kama huo kutoka kwa Marekani.
Familia ya shujaa wa uhuru wa Kongo, Patrice Lumumba, ilisema jana Jumanne kwamba inatumai kupata haki, huku mahakama ya Ubelgiji ikizingatia kumfungulia mashtaka mshukiwa pekee aliyebakia hai hadi sasa kuhusu…
Mashindano ya Kombe la Dunia 2026, yaliyopangwa kufanyika msimu ujao wa joto Amerika Kaskazini, yanakabiliwa na tishio lisilo la kawaida, baada ya sauti nyingi nchini Ujerumani kuibuka zikitaka kususiwa Kombe…
Gazeti la New York Times linaamini kwamba katika mwaka wa kwanza wa muhula wake wa pili, Rais wa Marekani Donald Trump amesema uongo mwingi, kutoa madai yasiyo na msingi na…
Polisi wa Nigeria wamekanusha ripoti kwamba waumini walitekwa nyara makanisani katika jimbo la Kaduna siku ya Jumapili iliyopita, wakisisitiza kwamba hakuna shambulio kama hilo lililotokea.