Ni timu gani zimeyaaga michuano ya Klabu Bingwa Ulaya
Msimu wa klabu bingwa ulaya (Champions League) wa mwaka 2025-26 umeanza kuchanja mbuga na kufikia katika hatua ya kuwatofautisha timu ndogo na timu vigogo.
Msimu wa klabu bingwa ulaya (Champions League) wa mwaka 2025-26 umeanza kuchanja mbuga na kufikia katika hatua ya kuwatofautisha timu ndogo na timu vigogo.
Simu yako ya mkononi. Kila siku watu hubishana kwenye mitandao ya kijamii kama WhatsApp, hukiri...
Pendekezo hili linahusu nafasi zote za kimahakama, kuanzia mahakimu, majaji hadi Jaji Mkuu wa...
Kati ya mambo yanayosubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wengi duniani kote, ni kumWona...
Miaka sitini na tano baada ya mauaji ya Patrice Lumumba, mfumo wa sheria wa Ubelgiji umepitia upya kesi za kisheria siku ya Jumanne, Januari 20. Suala linalojadiliwa ni uchunguzi uliofunguliwa…
Uhusiano wa Harmonize na Kajala Masanja umekuwa na matukio mengi ya panda shuka ambayo kwa...
Serikali ya Togo imethibitisha siku ya Jumanne, Januari 20, 2026, kwamba ilimrejesha nyumbani nchini Burkina Faso rais wa zamani wa mpito Paul-Henri Sandaogo Damiba Januari 17. Damiba alipinduliwa mwaka wa…
Soma zaidi hapa...
Nchini Sudan Kusini, balozi tisa za Magharibi, zikiwemo za Marekani, Uingereza, na Ufaransa, zimetoa taarifa ya pamoja Jumanne, Januari 20, zikielezea wasiwasi wao kuhusu vurugu zinazoongezeka. Taarifa hii imekuja saa…
Siku ya Jumatatu waziri wa fedha wa Ujerumani alisema, "hatutakubali kutishwa" baada ya mkutano wa dharura na mwenzake wa Ufaransa.
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), wimbi linaloendelea la kamata kamata halilengi tu wanasiasa au maafisa wa usalama. Pia linawalenga ndugu wa Corneille Nangaa, mwenyekiti wa zamani wa Tume…
Gavana wa California kutoka chama cha Democratic, Gavin Newsom, amewasihi viongozi wa nchi za Ulaya huko Davos, Uswizi, siku ya Jumanne “kusimama” dhidi ya Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu…
Ushindi huo umeifanya Arsenal kufikisha pointi 21 ambazo zimeifanya ijihakikishie kumaliza...
Maombi hayo yatafanyika kuanzia Januari 25 hadi Februari 1, 2026 katika kanisa hilo jijini Dar...
Kama sehemu ya sheria mpya za uhamiaji zilizoungwa mkono na Rais Donald Trump, Marekani imetangaza kuanzia Jumatano, Januari 21, kusitishwa kwa maombi yote ya visa za kudumu za uhamiaji kutoka…
Hasira imeibuka mtandaoni baada ya Mkuu wa jeshi la Uganda, Muhoozi Kainerugaba, kutoa mfululizo wa machapisho ya uchochezi kwenye mitandao ya kijamii, hususan kumtishia kumsaka na kumuua kiongozi wa upinzani,…
Rais wa Marekani Donald Trump amesisitiza tena vitisho vyake vya kuchukua udhibiti wa Greenland, akisema kwenye mitandao ya kijamii kwamba “hakuna kurudi nyuma” na kwamba “Greenland ni muhimu sana”.
Afisa wa ngazi ya juu wa Jeshi la Iran amepuuzilia mbali vitisho vya maneno vya hivi karibuni vya Rais wa Marekani Donald Trump, akionya kwamba, hatua yoyote ya uadui itakayoelekezwa…
Aston Villa inatathmini uwezekano wa kuwasajili Jean-Philippe Mateta na Tammy Abraham, Manchester United yakataa ombi la Ajax kumsajili Manuel Ugarte na Bournemouth inapigania kumbakisha Marcos Senesi.
Chama cha upinzani nchini Uganda cha People’s Front for Freedom kimesema katika taarifa kwamba afya ya kiongozi mkongwe wa upinzani nchini humo Kizza Besigye “iko katika hali mbaya na inaendelea…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesisitizia tena haki ya Iran ya kutumia nishati ya nyuklia kwa malengo ya amani.
Rais wa Marekani Donald Trump amemkosoa vikali Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kwa kukataa kujiunga na kile kinachoitwa "Bodi ya Amani" ya Washington kwa ajili ya Ghaza, huku mpango huo…
Kufuatia vituko alivyofanya hivi karibuni Donald Trump kwa barua aliyomwandikia Waziri Mkuu wa Norway, Dk. Jonathan Reiner tabibu na mhadhiri katika Chuo Kikuu cha George Washington ametaka rais huyo wa…
Leo ni Jumatano tarehe Mosi Shaaban 1447 Hijria mwafaka na tarehe 21 Januari 2026.
''Chungwa'' ni nembo ya chama cha Orange Democratic Movement nchini Kenya ambalo limekuwepo kwa miongo miwili sasa, na ambalo kwa sasa baadhi ya wafuasi wake na hata wachambuzi wa kisiasa…
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari kubwa…
This feed is disabled. You can enable it at Your account(Feed generated with FetchRSS)
Wananchi wa kata ya Lunguza katika Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga wamelalamikia uwepo wa...
Hoja ya ombwe la utawala wa sheria imeibua mjadala, baadhi ya wadau wamesema hali hiyo...
Jumla ya vijiji 72 vilivyopo katika mikoa ya Njombe na Iringa vinatarajiwa kunufaika na mradi...
Shahidi wa kwanza wa upande wa Jamhuri katika kesi ya kuendesha biashara ya upatu inayomkabili...
Serikali imesema uwekezaji uliofanywa katika Bandari ya Dar es Salaam umeleta mafanikio makubwa...
Zaidi ya wafanyabiashara ndogondogo 150 wa Mtaa wa Mailimoja A, Manispaa ya Kibaha mkoani...
Wakati viongozi wa dunia wakikutana katika Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) huko Davos, Uswisi...
Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kwa kushirikiana na wadau wa mazingira na maji, imezindua rasmi...
Chama cha Wafugaji Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro kinatarajia kuitisha kikao cha dharura kwa...
Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amwelezea...
‎Amesema hiyo itasaidia kujua changamoto hasa za vijana walioko kwenye mfumo rasmi wa ajira na...
Jumla ya vijiji 72 vilivyopo katika mikoa ya Njombe na Iringa vinatarajiwa kunufaika na mradi...
Serikali imelenga waziwazi kundi maalum la kidini, ikilita “madhara ya kijamii” na “hatari” huku ikihamasisha mamlaka ya serikali kwa njia ya kulipiza kisasi. Vitendo kama hivyo ni ukiukwaji mkubwa wa…
Vyombo vya ulinzi wilayani hapa vinatarajia kuendesha oparesheni ya kuwasaka wachimbaji haramu...