Miaka 10 baada ya kifo cha mume wa Celine Dion
Mwanamuziki wa Pop, Rock na R&B kutokea Canada, Celine Dion, 57, ameeleza kwa hisia kali...
Mwanamuziki wa Pop, Rock na R&B kutokea Canada, Celine Dion, 57, ameeleza kwa hisia kali...
Kocha anayeondoka wa Crystal Palace, Oliver Glasner, ni miongoni mwa majina yanayozingatiwa kuchukua nafasi ya ukocha wa Manchester United.
Mtoto wa kihuni. Kipisi cha mtu. Toka mitaa ya mandishi matatu. Namaanisha TMK. Said Fella, ila...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, ameongoza kwa kishindo katika uchaguzi wa urais uliofanyika Alhamisi, akiwa mbele dhidi ya mpinzani wake mkuu Bobi Wine, ambaye chama chake tayari kimeanza kuhoji uhalali…
Utaratibu wa baadhi ya watu kuishi peke yao ndani ya nyumba na wengine kufariki pasipo...
Utaratibu wa baadhi ya watu kuishi peke yao ndani ya nyumba na wengine kufariki pasipo...
#SwaliLaKipimaJoto:Matukio ya moto katika majengo ya umma na binafsi maeneo mbalimbali.Je, Taasisi ziweke utaratibu wa kukagua mifumo yake kila mara kuepusha majanga
🔴KUMEKUCHA :WIKI YA HUDUMA ZA FEDHA KITAIFA....JANUARI 17, 2026
🔴 #MAGAZETI: MAUAJI YA KUTISHA / WAWILI WAPISHANA NA AHOUA..JANUARI 17, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI JANUARI 17, 2026
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetoa onyo kali kutokea mjini Dakar, Senegal, likieleza kuwa bila rasilimali na hatua za haraka, watu walio katika mazingira…
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuhusika moja kwa moja Marekani, utawala wa Kizayuni na baadhi ya nchi za Ulaya katika matukio ya hivi karibuni ya Iran…
“Gholamhossein Darzi,” Balozi na Naibu wa Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kwamba, maandamano ya amani ya wananchi u wa Iran yalitekwa nyara na…
Waziri wa Ulinzi nwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Tuna ushahidi madhubuti unaoonesha kwamba, Marekani, utawala wa Kizayuni na baadhi ya washirika wao waliunda kituo maalumu cha kujadili na…
Mchambuzi mmoja wa masuala ya kieneo na kimataifa wa utawala wa Kizayuni amesema kuwa, si Donald Trump na si Marekani yenyewe, wote hawana uthubutu wa kuanzisha vita vipya dhidi ya…
Leo ni Jumamosi 27 Rajab 1447 Hijria sawa na 17 Januari 2026 Miladia.
Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) imetangaza rasmi kupinga uingiliaji wa aina yoyote wa kigeni nchini Iran.
#KIPIMAJOTO: “Dira sio tukio la kwamba unaamka asubuhi unawapigia watu simu, hii ni mipango ambayo. Unakuta jamii kwanza inakuwa na matarajio…..” Deodatus Balile – Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania Powered…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: JANUARI 16, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA JANUARI YAKO KWA BUKU TU..JANUARI 16, 2026
NBC Premier League Jumamosi hii AzamFC watakuwa nyumbani Azam Complex wakiwakaribisha Coastal Union. Mechi hii itapigwa kuanzia saa 1:00 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD. #NBCPL #Azamtvsports1HD
Wahitimu wanne wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wamefanikiwa kubuni gari inayotumia umeme baada ya kusukumwa na udadisi wa kutatua changamoto za usafiri hususani upande wa uchafuzi wa mazingira…
Wakala wa Umeme Vijijini (REA) umefanikiwa kuzindua kituo cha kupoza umeme cha Mtera kinachotarajiwa kuwanufaisha wakazi wa Iringa na maeneo ya jirani. Sambamba na hilo serikali imewahimiza wananchi kulinda miundombinu…
Serikali imepokea meli mbili za tani 26,500 za mbolea ya kupandia mazao aina ya DAP zenye ruzuku kwa ajili ya kuwasambazia wakulima nchini. Mkurugenmzi Mkuu wa Kampuni ya Mbolea nchini…
Hapa Sentro weekend yetu tunaianza na @kongamoyo_band kwa burudani taamu isiyochosha. #SentroYaCloudsTv #Clouds26Nyoosha
Laiti wangejua wasingemuachia #AzamTWO
🔴KIPIMAJOTO: DIRA YA 2050. JE INAFURSA ZIPI KWA VIJANA WA LEO?
Serikali imetangaza kutoa fursa kwa vijana zaidi ya 5,700 ya kujiunga na mafunzo ya uanagenzi yatakayowawezesha kupata ujuzi wa vitendo ili kushindana kikamilifu katika sekta za maendeleo kupitia ajira, kujiajiri…
Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) na Bohari ya Dawa (MSD) zimekubaliana...
Mkazi wa Bunju jijini Dar es Salaam, Yusuph Constantine Muhoja ameibuka mshindi wa jumla wa...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya ‘MNEC’ Ndele Mwaselela...
#HABARI: Familia ya Bi. Pendo Sangiziro, mkazi wa Nyantorontoro Kata ya Nyankumbu Halmashauri na Manispaa ya Geita mkoani Geita wamelazimika kulala nje ya nyumba yao kwa siku nne mpaka sasa…
#KIPIMAJOTO: DIRA YA 2050. JE INAFURSA ZIPI KWA VIJANA WA LEO?
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA USIKU - 16/01/2026
Mahakama ya Wilaya ya Temeke imepanga Januari 23, 2026 kuendelea na usikilizwaji wa kesi ya...
TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU JANUARI 16, 2026 -JENGO LA NSSSF LASHIKA MOTO DAR ES SALAAM
Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro (DC), mkoani Manyara, Fakii Lulandala amewaagiza walimu wakuu wa...
Kwa mujibu wa Waziri huyo kuanzia Januari 2025 hadi Novemba 2025, idadi ya watalii imeongezeka...
Serikali imesema inatambua uwepo wa baadhi ya watumishi wanaosumbua wawekezaji kwa kuwaomba...
Polisi Mkoa wa Tabora imetoa taarifa za kuwashikiliwa watuhumiwa mbalimbali wakiwemo wa mauaji...
Serikali imetangaza kuwa jumla ya vijana 5,746 wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya uanagenzi...
Beki huyo wa kushoto anayemudu pia kucheza nafasi ya winga, anakuwa mchezaji wa pili kutoka...
Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia Seke Mabirika (45) kwa tuhuma ya mauaji ya mke wake, Rahel...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Februari 16, 2026 kwa ajili ya upande wa Jamhuri...
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata watu watano kwa tuhuma za kumuua kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Hamza Malingumu Hussein (20) katika eneo la Lukobe, Manispaa ya…
Wakala wa nishati ya umeme vijijini (REA) umezindua kituo cha kupoozea umeme Mtera...
Umoja wa Wenyeviti wa Mikoa 31 ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) umekuja na...
Kibaha, Pwani — Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Tanzania Women Empowerment Network (TAWEN), Dk. Florence Masunga, ametoa wito kwa wakuu wa taasisi za umma na viongozi wa…