Uchaguzi mkuu waahirisha kufungua shule Uganda
Uamuzi huo unahusu shule zote za serikali na binafsi, shule za kimataifa, vyuo vya kati pamoja...
Uamuzi huo unahusu shule zote za serikali na binafsi, shule za kimataifa, vyuo vya kati pamoja...
Simanzi imetawala leo Januari 15, 2026 katika Mtaa wa Korongoni jijini Arusha baada ya mwili wa...
Utafiti mpya wa maoni unaonyesha kuwa Wamarekani wengi wanapinga vikali wazo la kuihodhi Greenland.
Serikali ya Malawi imetangaza kuanza kutumia Hospitali ya Rufaa ya Benjamini Mkapa kama kituo...
Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu wawili akiwemo Doto Lubongeja mkazi wa kijiji cha Madundasi wilayani Mbarali kwa tuhuma za mauaji ya watoto watatu wa familia moja wasiokuwa wakichunga mifugo ya…
Usikose kufuatilia #TheStoryofJuana leo kuanzia saa 1:00 usiku #AzamONE #WeSpeakSeries
Happy birthday mdau wetu @isutimioyo , pia pole kwa changamoto za kiafya zilitokana na ajali. #Cloudsmediagroup inakutakia maisha marefu na afya imara. #Clouds26Nyoosha
🔴HAPA NA PALE KUTOKA TANGA - JANUARI 16, 2026
Hatima ya Chelle iko kwenye mabano kufuatia timu hiyo kufungwa na Morocco kwa mikwaju ya...
The Punisher Wikiendi nyingine kitu cha The Punisher kinaendelea katika muda ule ule saa 4:00 usiku kaupitia AzamONE. #ThePunisher #AzamONE
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Tabora limefanikiwa kuwatia mbaroni watu 15 wanaotuhumiwa kwa makosa mbalimbali, ikiwemo wizi wa pikipiki na vifaa vya ujenzi wa mradi wa maji wa Ziwa Victoria.…
Master Chef Leo saa 3:00 usiku katika Master Chef kupitia AzamONE #Masterchef #azamone
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeendelea kung’ara katika utoaji wa huduma za matibabu ya mifupa katika ukanda wa nchi zinazoendelea na zinazopokea ufadhili wa vifaa tiba…
Waziri wa ulinzi wa Afrika Kusini, Angie Motshekg, ameagiza uchunguzi kufanyika kuhusu ripoti ya Iran kushiriki katika mazoezi ya wanajeshi wa majini, kinyume na maagizo ya rais. Imechapishwa: 16/01/2026 –…
Jeshi la polisi mkoani Tabora linawashikilia watu sita kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya kijana Dereva Bodaboda Hamisi Nchambi (27) ambaye aliuawa na kisha mwili wake kutelekezwa juu ya…
Vikosi vya usalama vimezingira nyumba ya kiongozi wa upinzani nchi Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine. Bobi Wine ambaye anashiriki katika kinyang'anyiro cha Uchaguzi Mkuu nchini Uganda ameonyesha upinzani mkubwa…
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ameondoka nchini leo Januari 16, 2026 kwenda Morocco tayari kwa ajili ya kupokea kijiti cha maandalizi ya Kombe la Mataifa (AFCON)…
Comment yako itasomwa na @neypova kwenye TheSpark ya Clouds tv na burudani itasimamiwa na @djfantastic255
Huyu siku bwana Hashmet akiwafuma🙌 #AzamTWO
Watu karibu Milioni 55 katika nchi za Afrika Magharibi na Kati, wanakabiliwana uhaba wa chakula, hali ambayo inatarajiwa kuendelea kushuhudiwa mwaka huu. Imechapishwa: 16/01/2026 – 15:10 Dakika 1 Wakati wa…
HABARI: Majeruhi wawili wa jinsia ya kike katika jengo la ghorofa la National Social Security House wapelekwa Hospitali ya Mnazi Mmoja kwa ajili ya matibabu zaidi. Hayo yamethibitishwa na Mkaguzi…
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Emmanuel Nchimbi amesema licha ya uwekezaji katika sekta ya...
#MEZAHURU: “Kwa asiyejua malengo kabisa yaani yeye kazi yake kucheka yaani ule upuuzi ndio anao ufurahia ambao unazungumzwa pale… kwa sababu hajaenda na malengo lakini yule alieenda na malengo atazungumza…
Wazazi wa wanafunzi wa kidato cha kwanza waliopangiwa shule za Serikali lakini wakaandikishwa shule binafsi wametakiwa kutoa taarifa katika shule walizopangiwa awali, ili Serikali iwe na kumbukumbu sahihi. Hayo yamesemwa…
Shangazi Mwaija anaendelea kuinyoosha familia, Binti Msumi haachi tabia yake Usikose kutazama #KombolelaSeries leo saa 1:00 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
Matokeo ya awali ya uchaguzi nchini Uganda 2026, yanaonesha Rais Yoweri Museveni wa NRM aliye madarakani anaongoza kwa asilimia zaidi ya 60 ya kura zilizopigwa. Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi…
@kongamoyo_band wameapa kukuongoza kuanza kunyoosha weekend yako Ijumaa ya leo hapa #Sentro @cloudstv ili kufungua milango ya faraja na kuongeza nafasi ya kuitumikia mipango yako ya weekend. Njoo na popcorn…
Salma atajibu nini kwa Nawanda, kwa Side na Chioma nako kunafukuta, Usikose kutazama #NomaSeries leo saa 1:00 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
#HABARI: Wizara ya Katiba na Sheria, kupitia kliniki yake ya msaada wa kisheria, imefanikiwa kumfikia Mzee Jumanne Ngaiza, mkazi wa mtaa wa Unyankahe mkoani Singida, ili kutatua mgogoro wa ardhi…
Halmashauri ya Jiji la Tanga imetangaza rasmi kwa wananchi kuanza kutuma maombi ya mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na Halmashauri hiyo, kwa makundi ya Wanawake, Vijana pamoja na Watu Wenye…
Wasuluhishi na wawezeshaji wa mchakato wa kupata amani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na katika eneo la Maziwa Makuu, wapo jijni Lome nchini Togo ambako watahudhuria kikao cha…
Mtanga akieleza miongoni mwa wasanii aliokuwa akiwavutia sana katika harakati zake za kuingia kwenye tasnia ya uigizaji. Anasema zamani alikuwa 'Mwarabu', Msikilize hapa Usikose kutazama ALAMA kila Alhamisi saa 2:00…
London, England. Meneja wa Liverpool, Arne Slot amesema atafurahi kumpokea tena mshambuliaji...
Wavuvi katika Kata ya Bukura wilayani Rorya, mkoani Mara wameiomba Serikali kuchukua hatua za...
Nchini Uganda, matokeo ya kura ya uchaguzi mkuu uliofanyika siku ya Alhamisi, yanaendelea kutangazwa na tume ya Uchaguzi, wakati kiongozi wa upinzani Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, akizuiwa nyumbani…
Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa nchini Tehran amesema kuwa, njama za maadui za kuigawa Iran kupitia mamluki wao kuzusha vurugu na machafuko hapa nchini zimefeli na kugonga…
Kamanda Siwa amesema tukio hilo lilitokea jana Januari 15, 2026 katika Kijiji cha Matundasi...
Mawindo ya Karesi yanafikia, Sophia naye anawindwa.Usikose kutazama OTTOMAN leo saa 4:00 usiku. #AzamTWO
🔴MEZA HURU: VIJANA WAKIWA VIJIWENI HUPEANA MICHONGO YA PESA AMA NI ZOGO TU? ....JANUARI 16, 2026
Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa wakimbizi na Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR, Barham Salih, ametoa wito wa dharura wa msaada wa kibinadamu…
Uharibifu Mkubwa uliosalia Gaza baada ya vita baina ya Israel na Hamas kusitishwa uko bayana katika kila kona ya jiji hilo majengo yaliyoporomoka, vyuma vililivyotapakaa kila mahali, na vitongoji vilivyogeuka…
Watoto wa Ukraine wanakabiliwa na majira ya baridi mabaya zaidi tangu kuanza kwa vita, huku mashambulizi makali dhidi ya miundombinu ya nishati na maji yakikumbana na baridi kali isiyovumilika, na…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) leo Januari 16, 2026 limetoa onyo kali kutokea mjini Dakar, Senegal, likieleza kuwa bila rasilimali na hatua za haraka,…
Wakazi wa Bentiu, jimbo la Unity nchini Sudan Kusini, wanaishi katika hofu ya kudumu ya mafuriko yanayosababishwa na mvua kubwa, huku wahandisi kutoka Pakistan wanaohudumu katika Ujumbe wa Umoja wa…
Azarnykh mara kwa mara huchapisha video zake akiwahamasisha watu kujiunga na kuhudumu katika jeshi la Urusi.
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....JANUARI 16, 2026
Uongozi wa Chama cha Wavuvi Mkoa wa Tanga umetangaza kusitisha mgomo wa kusitisha shughuli za...
Marekani imeonyesha upinzani wake dhidi ya uamuzi wa Afrika Kusini kushiriki katika zoezi la kijeshi la majini la kimataifa linalohusisha Iran, ikiielezea Tehran kama “mhusika anayevuruga utulivu wa kimataifa na…