Dk Mwinyi aanika mafanikio lukuki afya, amani, Muungano
ZANZIBAR; WAKATI Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar leo ikiadhimisha miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar, Rais Dk Hussen Mwinyi amesema serikali yake inajivunia mafanikio makubwa yaliyofikiwa katika kipindi cha miaka…